Nauza salon ya kiume

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
653
Nauza salon ya kiume ipo mawasiliano opposite na shule ya sheria inafanyakazi sababu ya kuuza ni uhamisho mwenye uhitaji tuwasiliane 0652710020
 
Ina nini na nini, weka picha hapa za ndani na nje, nk.
 
Nauza salon ya kiume ipo mawasiliano opposite na shule ya sheria inafanyakazi sababu ya kuuza ni uhamisho mwenye uhitaji tuwasiliane 0652710020
Mkuu tuweke picha ili kusumbua kila mtu aje inbox whatssap, weka picha uko watakuja waliokuwa tayar t
 
Mnajua lakini maana ya salon ya kiume siyo mnasema weka picha tu

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app

Mkuu kwani salon ya kiume haipigiki picha?

Watu wanataka kuona mazingira, nature ya salon husika, usiwe unauza kibanda cha kunyolea nywele wewe unatangaza salon.
 
Kaweka mawasiliano yake kama uko interested mfate inbox sio kila post iwekwe picha.
 
Nimeweka namba ya simu badala ya picha,sijui wanataka nini wenzie wameshapoga na kufika kuangalia walio serious,muache akalie umbea
Kaweka mawasiliano yake kama uko interested mfate inbox sio kila post iwekwe picha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…