Nauza saa za ukutani

castieltsar

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
1,813
Reaction score
3,259
Ni saa ambazo unaeza ukachagua mchanganyiko wa rangi yeyote ile uipendayo au inayoendana na kwako...ukubwa wake ni 55cm .. bei yake ni laki moja (100000) napatikana Arusha, Usa-river namba za simu ni 0655402364.

Ni nzuri, lkn hamharibu rangi? Vipi mikoani tunafanyaje?
 
Upo juu Sana
Ndo thamani yake mkuu nakutengenezea kwa design unazopenda wewe ila kuna ndogo yake kwa elfu sabini imekuwa imepungua tu udogo ila design na quality ni ileile
 
Ndo thamani yake mkuu nakutengenezea kwa design unazopenda wewe ila kuna ndogo yake kwa elfu sabini imekuwa imepungua tu udogo ila design na quality ni ileile
Ebu nitumie WhatsApp no hii 0764736062
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…