rozela---choya...
Maua madogo ya rangi nyekundu..hutumika sana kutengenezea juice.INASEMEKANA HUONGEZA DAMU HARAKA, inaota singida,dodoma,manyara etc.... Maeneo haya umeuziwa bei kubwa basi ndoo kubwa kwa 5000..

Bora umetuelewesha ndugu yetu wa JF maana huku kwetu ktk Soko Kuu la Majengo ndoo ya lita 20 ni 3,000/ na hata ukutaka gunia ni 18,000/ usiniulize kilo ngapi mm nilishawahi kumpa Shangazi yangu km zawadi
Sema utunzaji wake sio msafi labda ndio maana ya bei kushuka
Huyu Protozoa anatushusha thamani hata kuuliza Rozera / Rozela imekuwa ujiko watu wa Facebook kz kweli2 Amoeba Kwa hakika mtu asiyejua Rozela haitaji hata kununua! wanaoliza wako curious tu, na si wateja!