thread yako umeiona lakini.....hamna sehemu uliyotaja beiHapana mkuu bei nzuri tu ...hii ikiwa mpya bei iko juu nmeshusha sababu ni used
Basi sawa mkuu, na kwakuwa tayari umemaliza chuo na mimi nilisha maliza kitambo kidogo, alafu istoshe napenda sana kupikiwa wali kwa kutumia jiko la mkaa...tehZilikua mbili ivyo nabaki na moja pia napenda kutumia mkaa kupika wali ivyo huwa zipo ndani tu maana nlikua nazitumia nikiwa chuo

Sawa.Zilikua mbili ivyo nabaki na moja pia napenda kutumia mkaa kupika wali ivyo huwa zipo ndani tu maana nlikua nazitumia nikiwa chuo
😁 😁Sawa.
Hivi huyo wa kwenye avatar ni wewe..??
Maana Dahhhh...!!
Basi tu
Mkuu avater yake na yako haziendani mkuu tafuta anaefanana na avater yakoSawa.
Hivi huyo wa kwenye avatar ni wewe..??
Maana Dahhhh...!!
Basi tu
Jf rahaMkuu avater yake na yako haziendani mkuu tafuta anaefanana na avater yako