Wakuu nauza rav 4 kwa tsh 8,000,000/-, ni old model,imetembea kilometa 150,000,ina rangi nyeusi
tupia picha basi
Wakuu nauza rav 4 kwa tsh 8,000,000/-, ni old model,imetembea kilometa 150,000,ina rangi nyeusi,ni ya milango mitano.
Usijali, kwa kuwa muda huu nipo away from mahali ilipo,try to visit uzi huu saa kumi jioni ntakuwa nimeiweka
Bado saa kumi haijafika...!?
Hata mi naona sa 11 haijafikaBado saa kumi haijafika...!?