Nauza Rav 4 for 15 million

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
336
Reaction score
314
Wadau husika na kichwa cha habari halo juu Nina uza Rav 4 ipo Arusha nicheki kupitia namba 0718146734 kupata picha watsap
Year of Manufacture: 1999
5 doors
Transmission: Automatic
Engine: Cc 1998
Fuel: V4
Body adds: Open roof
Price: 14 million.
Colour: blue
 
Kama umetoa details zote hizi ni kwann na picha usitupie ..
Unachoficha ni nini sasa?
 
Sehemu hizo nyekundu zinahitaji maelezo Pili Kichwa cha Habari kinasemaje??na hapo kwenye nyekundu!Yumkini wewe ni Dalali gari si yako ndo maana huna picha!1999 Milion15/milion14?????
 

charlie chaplin mwenyewe hawezi kuweka tangazo ambalo halina pcha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…