Nauza RANGE ROVER yangu,

Tobaaa! Hili bulldozer.... dumper? Hiyo 5.0L unaielewa maana yake?

Ukikanyaga ume dump kikombe cha mafuta.

Hivi watu huwa wananunua haya magari macho juu bila kuangalia ukubwa wa cc?

Sasa hivi kuna Range Rover Evoaue zina engines za 2,000 cc, better fuel consumption than Nissan Altima.
 





Wakuu nimejaribu kuweka picha za Range Rover za mwaka 2012 naona Dogo kaamua kuchangamsha jukwaa hizi gari bei yake ni ghali sana bado sijaweka gharama za matengenezo na nk kwa vyovyote hili gari ni kwaajili ya wafanyabiashara,wakuuu wa makampuni makubwa.
 

Matengenezo CMC, mwendo fulu kudayagnosi. CMC nao longolongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…