Nauza Queen Elizabeth

Aliuziwa feki huyo. wateja wangu wote naowauzia yapata miezi mi4 sasa hakuna hata mmoja alienilalamikia kupata madhara yoyote zaidi ya kupendeza na kuomba niwaongeze zingine
 
Ukiona yanatoa maji ukiyafungua umeingizwa chaka bei yake ni 25,000
 
Mama mbona hujaweka picha ya hio pamba(cotton) ya 336000/-

Hahahahah nimecheka sana serio ....kwakumsaidia anamaanisha carton na sio cotton
 
Last edited by a moderator:
haya yanatofauti gani na vaseline ninayopaka miaka nenda rudi? maana nayo inanisoftisha naonekana spring chicken na mwaka kesho nagombea u-miss

Uzee wote huo?...kwiikwiii!
 
Mimi ningepata ile kitu inayong'arisha papuchi kama wanazotumia pornstar ningemnunulia mama Yoyo. Yaani papuchi inakuwa kama ya toto dogo kabisa.
 
Aisee...siku hizi urembo unapatikana dukani!
What happened to 'kuchunguza sababu ya tatizo' ili kujua namna ya kutibu?
Ultimately, kwanini unataka kuwa soft? Is softness the ultimate goal to every girl?
 
hicho siyo kigezo, vigezo vya lugha 3 ninanvyo naongea kiswahili, english na spanish(se habla espanol)

hahaaa, utavaaje vazi la ufukweni mkuu wakati maziwa yalishasinzia, yanasimama ukiwa unapiga deki tu!
 
Ina maana bei fotauti..si yanauzwa elfu 25 haya?…… eh haya upo wapi wewe?
 
Ukiona yanatoa maji ukiyafungua umeingizwa chaka bei yake ni 25,000

Mpendwa acha kuharibu biashara za wenzio.Ww sema unauza 30000 kutokana na bei uliyonunulia sio kuambia wanaouza 25000 ni fake.Mm nauza haya mafuta huu mwaka na nusu na yanatoka UK na bei yake 25000.Wewe waambie tofauti kati ya fake na original kuwa fake yanatoa maji lkn sio kusema fake yanauzwa 25000 ili kuwafanya wanaouza 25000 wanaonekane wanauza fake.Mm nawafahamu wafanyabiasha weng sn hapa mjini wote wanatoa UK na wanauza 25000 tu.Hayo fake yanayotoka china kuna watu wanauza mpaka 40000 issue sio bei bali tamaa ya mtu
 
Mama_rich hebu toa detail za kina za hiyo bidhaa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…