Nauza projector bei 200,000

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
DLP INFOCUS X1, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni projector ambayo bado iko safi bulb life bado,kiujumla ni nzuri kwa bei nafuu na hitaji hela ya haraka kama unahitaji ni PM. BEI NI Tsh. 200,000/-
 

Attachments

  • infocus-x1-video-projector.jpg
    2.9 KB · Views: 359
Pia utueleze vizuri umeiiba wapi ili sisi wanunuzi tuwe na tahadhari wakati tunaitumia.
 
Pia utueleze vizuri umeiiba wapi ili sisi wanunuzi tuwe na tahadhari wakati tunaitumia.
Usiwe mwepesi wa kuhukumu,ninazo tatu nazote ziliagizwa nje so nauza moja kwa maamuzi yangu kwa kuwa naihitaji hela ya haraka, shida ya baadhi ya Wabongo nikuhukumu ukiwekekewa bei juu kelele ikiwa chini sana napo kelele jamani kazi sana. Haya tangaza nchi nzima huyo aliyeibiwa ajitokeze na document zake.
 
Yes Amazan.com ni nje ndugu yangu ukiweka usafirishaji na gharama nyingine ina kuwa ngapi? pia bei yangu ni Laki2

Unapatikana wapi? Nataka niangalie uwezekano wa kukufikia.
 
Naona umeiweka AMAZON pia mbona huku iko kwa $200 mkuu?

Amazon.com: InFocus X1 Video Projector: Electronics

Ndugu bei ya $200 ni ya AMAZON siyo yangu? Mimi yakwangu ipo nyumbani hata leo ukitaka unachukua,mimi niko Dar. Pia kwa ushauri tu Amazon @ Usd $200 ukijumlisha na usafirishaji na gharama nyingine utaikuta kwenye Laki4 na zaidi mpaka inakufukia wakati zote ni used na pia kuna risk ya kutopata mzigo wako wakati hapa unaangalia unatest unaridhika ndo unalipia,bei yakitanzania na unachukulia nyumbani ili kama kunashida waweza kurudi tukaangalia tatizo.
 

mbona picha ni ileile?

Hii ya amazon



Na hii ya kwako



 
mbona picha ni ileile?

Hii ya amazon







Na hii ya kwako





Kaka nilikuwa sijakuelewa picha mimi nimeweka kwa kutumia model coz ilivyo kwa muonekano ni exactly lkini yangu sina camera hapa ungekuwa facebook waweza thibitisha kwenye picha zangu

Ukiangalia vizuri kwenye kabati.
 

Attachments

  • pr.jpg
    60.6 KB · Views: 71

Kaka nilikuwa sijakuelewa picha mimi nimeweka kwa kutumia model coz ilivyo kwa muonekano ni exactly lkini yangu sina camera hapa ungekuwa facebook waweza thibitisha kwenye picha zangu

Ukiangalia vizuri kwenye kabati.


Ok all the best
 
mimi naihitaji hii projector leo hii hii na my 4ne no# icheki kwenye me naku Pm......inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…