Amani kwenu wadau,
Nauza printer ya rangi aina ya Hp Deskjet F2200 series 3 in 1, kwa maana ya kwamba ina print, scan, copy.
haina tatizo lolote, inafanya kazi vizuri.
Inafaa kwa matumizi binafsi, kwa wanafunzi wa chuo, stationery, oficce n.k.
Bei maelewano
Mashine inapatikana tabata segerea
Anayehitaji piga simu kwa maelekezo kamili 0754 669580

Acha maneno weka bei..Amani kwenu wadau,
Nauza printer ya rangi aina ya Hp Deskjet F2200 series 3 in 1, kwa maana ya kwamba ina print, scan, copy.
haina tatizo lolote, inafanya kazi vizuri.
Inafaa kwa matumizi binafsi, kwa wanafunzi wa chuo, stationery, oficce n.k.
Bei maelewano
Mashine inapatikana tabata segerea
Anayehitaji piga simu kwa maelekezo kamili 0754 669580
Mkuu.. Leta 80 uje uchukue yangu.. Ni mpya ila vichupa ndio vimekwisha wino...Uko wapi nikufate mwenyewe nina 50..
Zaidi ya 50 mwana nisubiri nipate mshahara.Nipo segerea tabata, mkuu weka 70 tumalize kazi