NAUZA PIONEER RECEIVER VSX924 4k HD music systeam

B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
1,057
Likes
1,397
Points
280
Age
4
B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
1,057 1,397 280
Ndo inatumikaje mkuu nieleweshe maana nimezoea receiver ni za ving'amuzi sasa hiyo ni ya king'amuzi gani?
 
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Messages
2,726
Likes
2,343
Points
280
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2011
2,726 2,343 280
Sasa hiyo ina speaker au inafanyaje kaz? Ebu elezea watu tukuelewe acha kuwaka hayo maspecification yoote. Elezea kwa ufupi namna inavyofanya kazi
 
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,266
Likes
2,936
Points
280
Age
33
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,266 2,936 280
Sasa hiyo ina speaker au inafanyaje kaz? Ebu elezea watu tukuelewe acha kuwaka hayo maspecification yoote. Elezea kwa ufupi namna inavyofanya kazi
Yeye mwenyewe hajui maana ya hizo specs!
 
Deeboyfrexh

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
995
Likes
109
Points
160
Deeboyfrexh

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
995 109 160
Hahahahah, hiko kimashine ni balaa kwa msiokijua. Kwa kutoana ushamba kidogo hio reciever kwa kifupi tu, ni muundo flani wa amplifaya ambao umebuniwa kufanya kazi kama Digital Audio/Video Control Centre. Yani inapokea mawimbi ya sauti na picha toka katika vifaa vingine vya burudani kama tv, simu, radio, game ama deki na kuyachuja ili kutoa sauti au katika vipimo sahihi na kwa mikondo tofauti yani channels, kama ambavyo ilivyokusudiwa katika audio au video contents tofauti.
Ili kuitumia lazma uwe na source ya sauti au picha na pia itabidi uwe na speakers kwa ajili ya output ya sauti.
Uzuri mmoja ni kuwa hizi za kisasa zinakuja na inbuilt radio hivyo unaweza itumia kama radio ya kawaida.
Kwa ufanisi sijawahi ona kitu kinachofanya sound itoke kwa clarity bila distortion kama hizi reciever. Hamna cha hometheatre wala subwoofer inayofikia mziki wa reciever!

Ahaa sawa sawa. Huyu muuzaji yeye anakopi na kupesti tu haelezi k2 kikaeleweka
 
D

dr lumilo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2016
Messages
251
Likes
46
Points
45
Age
37
D

dr lumilo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2016
251 46 45
Labda kaletewa na mjomba ake ulaya na hajui inafanyeje kazii ...duuuh bongo uhuni uhuni umezidd utapel kila konaa
 
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
2,979
Likes
1,555
Points
280
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
2,979 1,555 280
Hahahahah, hiko kimashine ni balaa kwa msiokijua. Kwa kutoana ushamba kidogo hio reciever kwa kifupi tu, ni muundo flani wa amplifaya ambao umebuniwa kufanya kazi kama Digital Audio/Video Control Centre. Yani inapokea mawimbi ya sauti na picha toka katika vifaa vingine vya burudani kama tv, simu, radio, game ama deki na kuyachuja ili kutoa sauti au katika vipimo sahihi na kwa mikondo tofauti yani channels, kama ambavyo ilivyokusudiwa katika audio au video contents tofauti.
Ili kuitumia lazma uwe na source ya sauti au picha na pia itabidi uwe na speakers kwa ajili ya output ya sauti.
Uzuri mmoja ni kuwa hizi za kisasa zinakuja na inbuilt radio hivyo unaweza itumia kama radio ya kawaida.
Kwa ufanisi sijawahi ona kitu kinachofanya sound itoke kwa clarity bila distortion kama hizi reciever. Hamna cha hometheatre wala subwoofer inayofikia mziki wa reciever!
Saju b
Baba yenu
Tatizo kupata speaker zenye uwezo kuhimili hiyo mashine.
 
Deeboyfrexh

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
995
Likes
109
Points
160
Deeboyfrexh

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
995 109 160
Tatizo kupata speaker zenye uwezo kuhimili hiyo mashine.
Aisee speaker itabidi labda uende kwenye maduka ya redio za mitumba ndio utapata nzuri, zile za kichina utazipasua bure tu hio ngoma inaweza sukuma hata speaker za kanisani zile!
 
B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
1,057
Likes
1,397
Points
280
Age
4
B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
1,057 1,397 280
Atupe bei sasa maana mmemsaidia kazi aliyoshindwa
 
Forum statistics

Threads 1,236,196
Members 475,029
Posts 29,249,452