Pilipili mbuzi mkuuMkuu pilipili za aina GANI?
Sent from Calculator Phone vesion007
Hii picha ni pilipili mbuzi kweli?Nauza pilipili mbuzi,shamba lipo bagamoyo,kilo 1 ni Tsh.1500 au debe Tsh.10,000 .pilipili zipo katika ubora wake...
Kwa anaye hitaji,wasiliana nami kupitia..
-0766767539_voda
-0677459677_tigo
Nyote mnakaribishwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna zao lenye hela kama hilo
Zinahitajika pilipili ndefu mkuu
Kama ni hizo ngoja nikupigie MkuuNauza pilipili mbuzi,shamba lipo bagamoyo,kilo 1 ni Tsh.1500 au debe Tsh.10,000 .pilipili zipo katika ubora wake...
Kwa anaye hitaji,wasiliana nami kupitia..
-0766767539_voda
-0677459677_tigo
Nyote mnakaribishwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna zao lenye hela kama hilo
Sent from Calculator Phone vesion007