Nauza pikipiki aina ya SKYMARK bei rahisi

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,065
2,362
Pikipiki Ipo katika hali nzuri nauza kwasababu inakaa ndani tu ni Aina ya SKYMARK bei ni 800,000 maongezi yapo, inafaa kwa biashara pia kwa matumizi binafsi, kwa sababu ni mashine ya ukweli, njoo tuzungumze nikuache kitu cha ukweli, nipo mwenge DSM nichek kwa 0713415537..
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-10-19-14-03.png
    Screenshot_2016-02-10-19-14-03.png
    126.7 KB · Views: 147
  • Screenshot_2016-02-11-05-11-50.png
    Screenshot_2016-02-11-05-11-50.png
    41.4 KB · Views: 128
ingine Picha
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-10-19-13-44.png
    Screenshot_2016-02-10-19-13-44.png
    40.2 KB · Views: 100
Kaka nina mia 7 kama vipi kewho kutwa nije kuifuata
Mkuu njoo Mwisho njoo na 7.5 hii wala haihitaji matengenezo ni wewe utunzaji wako labda kama unataka kuiremba
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-11-05-11-30.png
    Screenshot_2016-02-11-05-11-30.png
    108.2 KB · Views: 101
Back
Top Bottom