ndaga fijo kyala G
Member
- Mar 30, 2015
- 17
- 2
Kuwamtulivu,huwezi kupost jana tu na ukauza kirahisi,humu kuna watu wanauza magari tangu mwaka jana na bado wanaendelea kunadi.Bado haijauzika kila MTU anapiga simu anaishia kusema atakuja kiucheki lkn Hamna aliyetokea mpaka sasa
Poa Zanzibar spices nimekuelewa mkuu
Zebanga haidaiwi chochote nilinunua 2013 lkn imeanza bodaboda mwaka Jana august
Pikipiki ni Honda, Yamaha, BMW na Suzuki. Hizo sijui Sanlg na Toyo ni baiskeli zenye mota