Haijafanya tukio lolote baya?Wanajamvi nauza pikipiki imetumika no .MC439 CUN aina HONLG ipo mbezi ya kimara.
Bei 1,000,000
Njoo DM tuongee
Yes, ipo nyumbaniHaijafanya tukio lolote baya?
Kesho usiku hatutapata picha nzuriiWeka picha mkuu
Nimeshaweka pichaKesho usiku hatutapata picha nzurii
Mkuu Boxer ipi? 150 X au 150 HD?Watu wapo namba E mkuu wew namba C unauza m.1? Legeza bei wadau waje af pikipik zetu wat wa daslam n boxer.😀😀 Any way natania mkuu ngoja wazee wa heavy duty wanakuja