Nauza photocopy machine ir 2420

KALITHERMAL

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
81
Reaction score
8
Photocopy mpya kabisa,hutajuta kununua..bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.

Kama unaitaka piga 0767205419

asante sana
 
Upo wapi mdau,ungetoa maelezo ya kina aina gani,ina mda gani,ukiweka picha si mbaya
 
Upo wapi mdau,ungetoa maelezo ya kina aina gani,ina mda gani,ukiweka picha si mbaya

Mdau,

NKO UBUNGO DAR ES SALAAM,INA MUDA WA MIEZI MINNE,ILINUNULIWA APRLI 2013..HADI SASA INA MIEZ MINNE...MDAU NI MPYA KABISA KAMA IKIWA TOFAUTI UTAIACHA..KAMA UKIIPENDA UNAITEST HAPO HAPO....PICHA GOOGLE TU CANON IR 2420
 
Siku ulipoinunua Agents wa Canon ndiyo waliokufungia(fanya installation) au ulifanya installation mwenyewe? maana akifanya Agent anatoa nakala ya Installation & test ambayo itasaidia katika kujiridhisha na hiyo machine, otherwise bei yako ni reasonable.
 
mkuu,

una manisha installation kwenye computer yangu,kama ni hyo nilifanya mwenyewe,na hyo nakala cjawahi kuwa nayo,machine ipo vizuri kama haitamridhisha mnunuaji anaiacha tu..biashara maelewanano tu...
 
Ndio maana tulitaka upige picha yako uiweke hapa coz hata huku kwenye google ambapo unatuambia tugoogle haiji pic moja zingme ndefu tower kama(fliji) zingi ni ndogo sasa wewe yakwako ni ipi?
 
ndio maana tulitaka upige picha yako uiweke hapa coz hata huku kwenye google ambapo unatuambia tugoogle haiji pic moja zingme ndefu tower kama(fliji) zingi ni ndogo sasa wewe yakwako ni ipi?

mkuu,

yangu haina zile drooz za chini...ni fupi inakaa mezani..ir 2420
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…