Thaconfession
JF-Expert Member
- Jun 16, 2021
- 301
- 594
Ahsante kwa ushauri mkuu, tutazungumza tu, hakuna kinachoharibika!Punguza bei. Nmenunua wiki hii Mwanza Kwa elfu 37 na warranty ya miaka miwili
Hii ni made in Indonesia mkuuMade in wapi!?
kimeoHii ni made in Indonesia mkuu
Nimetumia kwa miaka 4, haijawahi kunisumbua mpaka sasa!kimeo
kwa nguo za vitambaa laini inafaa kwa 80% , lakini kwa nguo kama jeans, Khaki, na nyinginezo nzito nzito haifaiNimetumia kwa miaka 4, haijawahi kunisumbua mpaka sasa!
Why unaiona kimeo?
Pasi Kama hii nilinunua toka mwanangu anazaliwa niliiacha kuitumia alipofikisha miaka 17. Sio kwamba ilikufa la hasha tuliibadilishia waya mpaka tukaona ipumzike sasa.kimeo
Exactly, ni pasi nzuri sana!Pasi Kama hii nilinunua toka mwanangu anazaliwa niliiacha kuitumia alipofikisha miaka 17. Sio kwamba ilikufa la hasha tuliibadilishia waya mpaka tukaona ipumzike sasa.
Maneno ya baba.
Yangu haipeleki moto shida itakuwa nini? Nimeitumia kwa miaka 4.Pasi Kama hii nilinunua toka mwanangu anazaliwa niliiacha kuitumia alipofikisha miaka 17. Sio kwamba ilikufa la hasha tuliibadilishia waya mpaka tukaona ipumzike sasa.
Maneno ya baba.
NI Philips made in China au Indonesia?Yangu haipeleki moto shida itakuwa nini? Nimeitumia kwa miaka 4.
fuse ya nje imekata au thermo fuse ya ndani imekata au thermostat inahitaji 'adjustment'moto shida itakuwa nini?
Unapata pia feni Aina ya USHA, ni miongoni mwa feni bora kabisa kuwahi kuuzwa hapa nchini!Kwa nini uwe na pasi peke yake mkubwa