Nyie mnaouliza ndio nini hicho, mmeshindwa hata ku google kujuwa ni nini hicho? hiki hapa:
![]()
Athante ,Vaiko(mwenye) alitakiwa aweke hivi ulivyoweka kwani yeye ndie muuzaji ,na unapouza kitu unatakiwa kitu unachokiuza kieleweke kwa urahisi ,sio mpaka imteja aanze kuuliza maswali mengi,kuna chapa zingine hazijulikani,ingekuwa chapa ya Nokia au samsung kusingekuwa na maswali mengi,pia huyu ndugu alitakiwa atoe maelezo au ufafanuzi kidogo je ni mali mpya au imetumika ,au imefungwa au haijafungwa (unaweza kutumia mitandao ipi) au ina tatizo/haina tatizo na inasaidia kwa kazi zipi,hapo hata mteja anavutika.Sasa mpaka FF atutolee ufafanuzi wakati biashara si yake inabidi umkatie ganji ukiuzaNyie mnaouliza ndio nini hicho, mmeshindwa hata ku google kujuwa ni nini hicho? hiki hapa:
![]()