nauza nyumba

Kwa mbezi makabe ambapo hata maji hakuna bei ya nyumba ni kubwa sana!!! Kiwanja pia bei si kubwa kihivyo!! Mkuu hebu ona jinsi ya kushusha bei kama bado nyumba ipo!! Halafu ujue kule ni squarter/no plan na hati ni za makazi na wachache wana za ukweli!!! It means Makabe so far no planned settlements!!! Nyumba mil 90 halafu plan hakuna? Ila nimejifunza kuwa maeneo ambayo hayajapimwa na ambayo ujenzi wa nyumba za karibu umeshaharibu basi jenga nyumba ya kawaida tu. Hii nyumba ingekuwa maeneo yetu ingeuzwa over 250,000,000/=
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom