Picha ya hicho kiwanja iko wapi tangaza biashara kikamilifu
[/QUOTE
Kiwanja kipo mbele ya hiyo nyumba anapooneka mtu anafyeka. Sijakipiga picha kiwanja vizr
Habar. Nauza nyumba yangu ipo Mbeya mjini maeneo ya uyole ya nsalaga. Inakiwanja kikubwa mbele cha kuweza kujenga nyumba nyingine kubwa. Bei 14M maelewano yapo kama ukipapenda. Whatsapp 0716142540