Nauza nyumba Mbeya mjini

Weka bei mkuu, ingawa kutakuwa na gharama ya kubadilisha hizo bati.
 
Dah yan mil 90 ,kwa vyumba viwili na sebule na choo cha nje !! Sasa mkuu si bora tukajenge za kwetu ! Kuwa muungwana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…