RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,220
Habari wanabodi?
Ni matumaini yangu kwamba mko salama kabisa.
Aidha, nawapongeza kwa mapambano makali dhidi ya huu ugonjwa wa korona. Kadhalika, tuendelee na utaribu wetu wa kuhakikisha tunanawa kwa maji tiririka na sabuni ili kujikinga na hili gonjwa. Pia inatupasa tumtangulize mbele mwenyezi Mungu ili tuyashinde haya majaribu ya shetani.
WanaJF, bila kupoteza muda ni kwamba nauza nyumba yangu ipo PUGU-KINYAMWEZI.
Kwa wale ambao mnapenda kuwekeza katika mali ambazo hazihamishiki (Real Property) hii ni fursa yenu ya pekee kwani ukinunua hii nyumba hautojuta hata kidogo kwa sababu ni nyumba nzuri sana na kumbuka nyumba/ kiwanja hakipungui thamani hata siku moja bali thamani yake huongekezeka mara dufu kila kukicha.
SIFA ZA NYUMBA
1. Ni nyumba nzuri, ya kisasa kama wasemavyo watoto wa mjini.
2. Ina ulinzi wa kutosha(CCTV Camera), ina eneo la kupaki magari madogo 8.
3. Nyumba ina vyumba hiyo ina Dining room, Library, master room 1, non-master room 2.
BEI
Nauza Milioni 100,000,000/=
MAWASILIANO.
Mob: 0677080460
Karibuni sana Wanabodi.