Habari za muda wakuu,
Nauza nondo za Tanzania kwa bei ya jumla (machale na plain).
Urefu na unene vimetimia.
Nondo kuanzia mm 10 mpaka mm 20 ,bei Tsh 1,285,000/=
Order kuanzia tani 5.
Kwa wakazi wa dar nawaletea mpaka site.
Kwa wamikoani watatoa maelekezo sehemu ya kwenda kupakilia order zao.
Mawasiliano piga
0713724242