Hii simu ninayoitumia ni NOKIA E72. Naiuza kwa shilingi 50,000.
Ni housing tu tu ndo imechoka tena siyo sana. Kuchaji nachajiaga kwenye sehemu ya USB maana kwenye sehemu yake ya kuchajia ile pini imepinda.
Hiyo ndiyo sababu iliyonifanya niiuze kwa 50.000
simu inapiga kazi kama kawaida. Whatsapp ipo.
Sababu kuu ya kuiza ni kwamba nataka niongezee hela nikanunue Nokia C6.
mkuu,soma vizuri hapo juu utaelewa. Ni kwamba sehemu ya chaji kwasasa haifanyi kazi kwa kuwa ile pini ya ndani imepinda. Kuna dogo aliingiza chaji ambayo siyo yake ndo akapindisha pini. Sasa kwanini nimuuzie mtu kwa 70,000 wakati itabidi aipeleke kwa fundi ambako huko atatoa hela au La achaji simu kwa kwenye simu ya USB ( chaji ya samsung ). Bado tena mtu aende akabadili Housing. So, hakuna haja ya kuumizana wakati hali yenyewe ni ngumu.
mkuu hii simu chaji kama wewe ni wa kupiga na kupokea tu inakaa siku tatu. Ila kama wewe ni kama mimi yani kila mara uko online na kucheza game kwa sana basi siku moja tu umelamba chaji.