mzee wa magumashi Senior Member Joined Oct 10, 2012 Posts 137 Reaction score 44 Jan 12, 2016 #1 Gari ipo katka hali nzur na ilikuwa kwenye matumiz binafsi.engine haijawahi shikwa.na inamwaga maji kwenye exosi.gar ni yangu ctaki dalali.. Piga 0686346322 Nipo morogoro
Gari ipo katka hali nzur na ilikuwa kwenye matumiz binafsi.engine haijawahi shikwa.na inamwaga maji kwenye exosi.gar ni yangu ctaki dalali.. Piga 0686346322 Nipo morogoro
H Hapa kazi tu Member Joined Nov 6, 2015 Posts 44 Reaction score 8 Jan 12, 2016 #2 mzee wa magumashi said: Gari ipo katka hali nzur na ilikuwa kwenye matumiz binafsi.engine haijawahi shikwa.na inamwaga maji kwenye exosi.gar ni yangu ctaki dalali.. Piga 0686346322 Nipo morogoro Click to expand... Kwa hiyo tukusaidie nini?
mzee wa magumashi said: Gari ipo katka hali nzur na ilikuwa kwenye matumiz binafsi.engine haijawahi shikwa.na inamwaga maji kwenye exosi.gar ni yangu ctaki dalali.. Piga 0686346322 Nipo morogoro Click to expand... Kwa hiyo tukusaidie nini?
mzee wa magumashi Senior Member Joined Oct 10, 2012 Posts 137 Reaction score 44 Jan 12, 2016 Thread starter #3 Hapa kazi tu said: Kwa hiyo tukusaidie nini? Click to expand... Nauza mkuu hiyo gari..
H Hapa kazi tu Member Joined Nov 6, 2015 Posts 44 Reaction score 8 Jan 12, 2016 #4 mzee wa magumashi said: Nauza mkuu hiyo gari.. Click to expand... Sasa gari ndo inauzwa hivyo?
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,429 Reaction score 5,469 Jan 12, 2016 #5 mzee wa magumashi said: Gari ipo katka hali nzur na ilikuwa kwenye matumiz binafsi.engine haijawahi shikwa.na inamwaga maji kwenye exosi.gar ni yangu ctaki dalali.. Piga 0686346322 Nipo morogoro Click to expand... Hayo maji yanayomwagwa kwenye exosi yanatumika kama dawa ya ukimwi au? Au unaposema inamwaga maji kwenye exosi je ya kazi gani na kwa siku litre ngapi,na je hayo maji yameingiza kipato gani ndani ya familia au ni matumizi ya nyumbani
mzee wa magumashi said: Gari ipo katka hali nzur na ilikuwa kwenye matumiz binafsi.engine haijawahi shikwa.na inamwaga maji kwenye exosi.gar ni yangu ctaki dalali.. Piga 0686346322 Nipo morogoro Click to expand... Hayo maji yanayomwagwa kwenye exosi yanatumika kama dawa ya ukimwi au? Au unaposema inamwaga maji kwenye exosi je ya kazi gani na kwa siku litre ngapi,na je hayo maji yameingiza kipato gani ndani ya familia au ni matumizi ya nyumbani