kinyangesi
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 247
- 86
Unaweza kuniachia hao wadogo na mabanda mimi nikawekeza kwa makubaliano?Naenda kuongeza elimu mkuu, fort hare university! Hapa nyumbani sina mwangalizi.@Mu-sir
Weka picha mkuu!
Astakhafilullah!!!
BulldogAstakhafilullah!!!
Nin kimekuleta kwenye huu uzi kama siyo kimbele mbeleee?Astakhafilullah!!!
vip ndugu ulishapata mnunuzi,,naona hapa maneno maneno tuHabari wana jf?
Nilikuwa nimeanzisha ka mrad kakufuga nguruwe, nna nguruwe wakubwa wa tatu. Na watoto wao wenye miezi 4. Nnawauza wote kwa pamoja! Bei ni maelewano tu. Eneo nnapofugia ni kbaha picha ya ndege si mbali toka morogoro road. Aliyetayari anichek kwa
0768035253
0716307470
Wamebaki wadogo wanne mkuu. Nipm namba yako
Pamoja sana mkuu zimba25, biashara ilifanyika nami sipo Tanzania tena. tehehehetee
Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app