Nauza nguo za Mitumba

sister g

Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Jamani habari zenu wana jf, nilikua nafanya biashara ya mitumba ya kike ila sasa nataka kubadilisha biashara kutokana na eneo nililopo kwa sasa biashara ya mitumba aitoki, ni mitumba mizuri ,blauzi ,sket, skinjeans,so atakaehitaji pamoja na henga za kutundikia pia nauza zote kwa pamoja anipigie kupiti namba hii 0652651853
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…