JACKSON PIASON
Member
- Aug 6, 2013
- 6
- 0
Napatikana DSM....amezaa mara mbiliUmri wa huyo ng'ombe na aina gani au mixer
Unapatikana wapi
Amezaa mara ngapi
Ng'ombe wapo bado? Unauza wangapi? Je, wana mimba? Nijibu kama bado wapo.Kwa siku anatoa Lita 10
kiasi cha maziwa anayota maana kuna wale wanauzwa sanya juu kwa masister wanatoa mpk Lt 15 Kwa mara moja
Mkuu naomba unielekeze hao ng'ombe wa sanya juu wanapatikanaje.kiasi cha maziwa anayota maana kuna wale wanauzwa sanya juu kwa masister wanatoa mpk Lt 15 Kwa mara moja
Naomba details za hao ng'ombe wa kwa masista sanya juu tafadhali
hapana mkuu ila kuna mzee mmoja ndo huwa anaendaga nunua huko labda nikuagizie tu aliko ukutane nae yy ndo ataweza kukupeleka hukoMkuu naomba unielekeze hao ng'ombe wa sanya juu wanapatikanaje.
Una namba zao za simu ama zako kwa ajili ya mawasiliano.