Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Mar 11, 2022 #1 Salaam Sana Nauza mtamba pichani Bei 1.5m Ana mimba miezi 4 Location; kiluvya gogoni dsm Picha/video zaidi 0755404226
Salaam Sana Nauza mtamba pichani Bei 1.5m Ana mimba miezi 4 Location; kiluvya gogoni dsm Picha/video zaidi 0755404226
gimmy's JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 3,338 Reaction score 3,393 Mar 12, 2022 #2 Jifunzeni kuandika matangazo ya biashara, Huyo ng'ombe ni kabila gani? Sifa zake kwenye utoaji maziwa zikoje? Ustahimilivu wa magonjwa? Hemu ongezea nyama tangazo lako chief
Jifunzeni kuandika matangazo ya biashara, Huyo ng'ombe ni kabila gani? Sifa zake kwenye utoaji maziwa zikoje? Ustahimilivu wa magonjwa? Hemu ongezea nyama tangazo lako chief
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,746 Reaction score 1,251,415 Mar 12, 2022 #3 Duh kumbe ng'ombe wana kabila!!?? gimmy's said: Jifunzeni kuandika matangazo ya biashara, Huyo ng'ombe ni kabila gani? Sifa zake kwenye utoaji maziwa zikoje? Ustahimilivu wa magonjwa? Hemu ongezea nyama tangazo lako chief Click to expand...
Duh kumbe ng'ombe wana kabila!!?? gimmy's said: Jifunzeni kuandika matangazo ya biashara, Huyo ng'ombe ni kabila gani? Sifa zake kwenye utoaji maziwa zikoje? Ustahimilivu wa magonjwa? Hemu ongezea nyama tangazo lako chief Click to expand...
gimmy's JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 3,338 Reaction score 3,393 Mar 12, 2022 #4 Numbisa said: Duh kumbe ng'ombe wana kabila!!?? Click to expand... Kama ulizoea kushinda jukwaa la MMU lazima haya utayaona mageni,kuita kabila ni kufanya kueleweka kwa urahisi wengi mmezoea "breed".Kwa upande wa breed za nyama kuna borani,kongwa breed nk.Wa maziwa nao wapo fressian nk
Numbisa said: Duh kumbe ng'ombe wana kabila!!?? Click to expand... Kama ulizoea kushinda jukwaa la MMU lazima haya utayaona mageni,kuita kabila ni kufanya kueleweka kwa urahisi wengi mmezoea "breed".Kwa upande wa breed za nyama kuna borani,kongwa breed nk.Wa maziwa nao wapo fressian nk
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,871 Reaction score 6,475 Mar 12, 2022 #5 Fanya laki 7 mkuu
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Mar 12, 2022 Thread starter #6 Aina Ni freshian Mama yake alikuwa anatoa maziwa Lita 8 asbh jioni Lita 6
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,314 Mar 12, 2022 Thread starter #7 Da Vinci XV said: Fanya laki 7 mkuu Click to expand... Hapana kiongozi huyo baada ya miezi kadhaa nitakuwa na ngombe na ndama na Kila siku nitauza maziwa . Dume wa size hiyo ndio anauzwa laki 7 fanya uchunguzi kabla ya kununua
Da Vinci XV said: Fanya laki 7 mkuu Click to expand... Hapana kiongozi huyo baada ya miezi kadhaa nitakuwa na ngombe na ndama na Kila siku nitauza maziwa . Dume wa size hiyo ndio anauzwa laki 7 fanya uchunguzi kabla ya kununua
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,638 Reaction score 220,409 Mar 12, 2022 #8 Kiluvya iko mkoa wa Pwani.
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,808 Reaction score 61,671 Mar 12, 2022 #9 Sky Eclat said: mkoa wa Pwani. Click to expand... ya Gogoni ipo Dar, Kino 😉
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,923 Mar 12, 2022 #10 Ahsante kwa taarifa...