na sija sema lazima uje ununue kwangu, nenda huko wanapouza kwa bei hiyo, nyie watu wengine sijui mmeumbwaje!
Kumbe hata humu kuna wachawi!hahahaa mimi sina shida na computer aisee, tena computer yenyewe ya kizamani hiyo, nilikuwa nakuelekeza tu kwamba ulichokuwa unakibishia ndiyo ukweli wenyewe, ulichotakiwa kufanya ni kunikonyeza tu kwamba "chuna kaka mkubwa naganga njaa", umesahau kwamba hapa ni jf watu tunafumbuana macho tu! samahani kama nimekukwaza.
Kumbe hata humu kuna wachawi!