Nauza nauza LAPTOP iko poa ,bei poa!

Nauza nauza LAPTOP iko poa ,bei poa!

lwampel

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
249
Reaction score
55
Nauza laptop aina ya Dell, latitude d630. processor 2GHZ intel duo cpu, Ram 1GB, Hard disk 150GB. Haija tumika sana, bado ipo katika hari nzuri, bei ni tsh 250,000/= laki mbili na nusu tu!, sitaki longo longo, kama pesa ipo nicheki 0752490238 ili tufanye biashara. Asante!
 
Attachments

  • dell.jpg
    dell.jpg
    96.9 KB · Views: 349
  • del.jpg
    del.jpg
    82.8 KB · Views: 272
  • 'ppl.jpg
    'ppl.jpg
    48.4 KB · Views: 246
  • ;;,l.jpg
    ;;,l.jpg
    41.4 KB · Views: 221
  • dell_latitude_d630.jpg
    dell_latitude_d630.jpg
    62.7 KB · Views: 268
sasa mbna picha ya kudownload? weka picha yake na useme inakaa na chaji mda gani
 
sasa mbna picha ya kudownload? weka picha yake na useme inakaa na chaji mda gani
sina camera pia simu yangu haina uwezo wakupiga picha, lakini muonekano wa hiyo hauna tofauti yeyote na hii yangu ndo maana nikaona hata picha hizo zinafaa.
 
Hio laki moja inauzwa
WE sema tu hela huna, sio uwanze kuleta porojo, hiyo laki moja duka gani na wapi? njoo nikupe hiyo laki moja ukaninunulie, sio unaongea tu kwa vile umepewa mdomo na mungu!
 
Kwa jinsi ilivyo hiyo PC laki 2.5 ni kubwa mno fanya laki moja/1.2
 
I think ulimaanisha Dell Latitude E6330 na siyo E630 maana hiyo ya E630 haipo kwenye soko
 
Hapa pana ulakin kwann udoqnload picha na usipige ya uhalisia tukaona hiyp hal nzur ikoje pengine ina mpasuko kwa kioo bure.usitufanye mapimbi kutuonesha mke wa jiran ndo wa kwako kisa wote mumeoa.
 
WE sema tu hela huna, sio uwanze kuleta porojo, hiyo laki moja duka gani na wapi? njoo nikupe hiyo laki moja ukaninunulie, sio unaongea tu kwa vile umepewa mdomo na mungu!

anachokwambia Saint Ivuga ni kweli, hizo d620, d630 bei ya jumla laki na 50!!
 
Last edited by a moderator:
I think ulimaanisha Dell Latitude E6330 na siyo E630 maana hiyo ya E630 haipo kwenye soko

Mkuu ahsante picha zilishanichanganya nususa nimpigie simu kumbe ni "Obsolete model"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom