Nauza nano liquid screen protector

Nami nauza yangu 220000 imetumika mwezi mmoja.
Mpyaa mwenye kuhitaji ani cheki aanze kupiga mpunga.
Biashara hii inalipa sana.
Lengo la kuiuza kijana nilie mpatia afanye kazi hajawa mwaminifu kabisa.
 
Nami nauza yangu 220000 imetumika mwezi mmoja.
Mpyaa mwenye kuhitaji ani cheki aanze kupiga mpunga.
Biashara hii inalipa sana.
Lengo la kuiuza kijana nilie mpatia afanye kazi hajawa mwaminifu kabisa.
Punguza nikupe 180,000 niifate kesho
 
swali la mwisho bro, nitajuaje kama hiyo liquid imewekwa kwa ufasaha kwani ni invisible siwezi kupigwa changa la macho wakapaka maji na kuyakausha?
 
Na swali la nyongeza, nikishaiweka siwezi kuitoa? kama protector? au inawezekana.
swali la mwisho bro, nitajuaje kama hiyo liquid imewekwa kwa ufasaha kwani ni invisible siwezi kupigwa changa la macho wakapaka maji na kuyakausha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fake as hell
 
swali la mwisho bro, nitajuaje kama hiyo liquid imewekwa kwa ufasaha kwani ni invisible siwezi kupigwa changa la macho wakapaka maji na kuyakausha?
hamna huwezi kujua hapo muhimu ni kuweka hiyo liquid kwa mtu unae jua anajua akifanyacho sio huko vichochoroni,kuna wale wameivamia hii biashara kwasababu tu kaona ni ya kupaka paka tu kisha unaweka kwenye kimashine,hao usiende nenda kwa mtu unamuona kabisa hii kazi yake hajaingia kitamaaa ila kanunua mashine ili kuboresha huduma.
 
Wewe unaweka kwa 20k ilhali kuna madogo wanapita mitaani wanaweka kwa 3000. Deal lilikuwa zamani sasa hivi si deal tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli ila kumbuka kila mtu na wateja wake na jinsi alivyoji brand,ukija ofisini kwangu hata nikikwambia 50k utatoa kwasababu ofisi ina hadhi hiyo,na pia bei yangu haiwezi fanana na machinga anaezunguka huko mtaani ni lazima tuwe tofauti ila ukijileta ofisini nikuwekee basi utaitoa hiyo 30,000 tofauti na hapo nitakuruhusu ukaweke wanapoweka 3000 ila si kwangu.
 
Sasa tofauti yake ni nini mkuu? Na mfano simu ikadondoka hiyo protector iliyowekwa ndo itapasuka ama ni touch ya simu itapasuka? Samahani kwa ushamba wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liquid protector zimekuwa nyingi kila kona, vispika kila kituo cha daladala na bei ni elfu 10 tu ‘pungufu unaongea’.... wewe bado unacharge 30k huko unawashika makalio.
 
kaka vipi? nahitaji hii bidhaa tafdhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…