Martin Kemosabe
Senior Member
- Jan 28, 2020
- 168
- 78
hapana mkuu,TV umeenda mbali sana hii hata Tablet huwezi wala simu yenye upana wa zaidi ya inch 5 hii ni kwa ajili ya simu zinazoenea tu ndani ya hako kamashine.,Hivi unaweza kuweka kwenye TV?
Ook kumbe, nilijua hata kwenye upande wa TV ingewezekana. Basi nikutakie majukumu mema kiongozi.hapana mkuu,TV umeenda mbali sana hii hata Tablet huwezi wala simu yenye upana wa zaidi ya inch 5 hii ni kwa ajili ya simu zinazoenea tu ndani ya hako kamashine.,
asante sanaOok kumbe, nilijua hata kwenye upande wa TV ingewezekana. Basi nikutakie majukumu mema kiongozi.
huwezi ona tofauti mkuu,ni invisibleMkuu embu nionyeshe mojawapo ya simu iliyowekwa protector na hizo mashine labda pengine nikavutika mkuu. Martin Kemosabe,
Sent using Jamii Forums mobile app
JF tunatumia ID fake hivyo kuweka namba zenye taarifa za NIDA public si sawa,Bora umpe mtu Anae hitaji PM ila sio kuanika namba yako hapa kweupe kutakua hamna maana ya hizi id fake sasa.
kichupa kimoja kinaenda hata simu 50-70 (hata na kuendelea) maana wakati wakupaka unadondoshea matone ma 3 tu kisha unapakaza,simu zenye screen ndogo kama samsung s2 unaweza dondoshea matone mawili tu kisha ukapakaza kioo chote,kwa ufupi kichupa kimoja hakiwezi kuacha kukupa zaidi ya laki 2,labda uwe unamwagia ile liquid na sio unadondoshea matone.(na huo utakua utumiaji mbaya wa liquid)
100% scratches kama utapata mtu ataekuwekea kitaalamu na ufundi akapaka liquid vizuri na akaweka simu ndani ya mashine vizuri kabisa.Kuhusu kupasuka hii haina Guarantee ni kama protector za kawaida tu maana hata protector za kawaida nazo ukiweka simu ikidondoka inaweza pasuka vile vile,nahii nayo ni hivyo.Je inazuia nini? Mipasuko,scratches ama nini ?
ok mtaalamu ipi faida ya hii liquid kuzidi glass protector ?100% scratches kama utapata mtu ataekuwekea kitaalamu na ufundi akapaka liquid vizuri na akaweka simu ndani ya mashine vizuri kabisa.Kuhusu kupasuka hii haina Guarantee ni kama protector za kawaida tu maana hata protector za kawaida nazo ukiweka simu ikidondoka inaweza pasuka vile vile,nahii nayo ni hivyo.
Faida kwangu mimi naona ni kukiweka kioo chako ktk hali ya upya na kufanya simu iwe smooth kwenye kioo maana inakua kama haijawekwa protector,na liquid inateleza sana kwahyo ukiweka kioo cha simu yako kitazidi kuwa smooth na kitakuvutia hata wewe mtumiaji wa simu husika,ok mtaalamu ipi faida ya hii liquid kuzidi glass protector ?
hasara yake kubwa namba 1 ni "nikikuwekea mimi na wengine kama mimi" tunaweka kwa bei sana maana kwamimi ukija nikiona unatumia simu ya zaidi ya 500k fahamu kuwa sikuwekei chini ya 30,000,hivyo hasara kubwa ni upotevu wa hela yako hayo mengine watu wanadanganyana tu.Hasara zake?
Ikiwa kichupa kimoja kinapaka simu 50hasara yake kubwa namba 1 ni "nikikuwekea mimi na wengine kama mimi" tunaweka kwa bei sana maana kwamimi ukija nikiona unatumia simu ya zaidi ya 500k fahamu kuwa sikuwekei chini ya 30,000,hivyo hasara kubwa ni upotevu wa hela yako hayo mengine watu wanadanganyana tu.
Ni sahihi ila ndio yakupasa uombe Mungu sana uwapate hao wateja 50,hii teknolojia haijakua kwahivyo bado watu hawaipapariki ila kama ukifanikisha kwa hesabu hizo zako hapo Juu basi jiandae uitwa freemason kama utapata wateja hao kwa mfululizo wa siku 30 yani mwezi 1 tu.Ikiwa kichupa kimoja kinapaka simu 50
Na
Kila simu moja inapakwa kwa 30,000Tsh
Mapato kwa kila kichupa ni
50 x 30,000 = 1,500,000 Tsh
Kwa vichupa vyote 6 ni
1,500,000Tsh x 6 = 9,000,000 Tsh
Sent using Jamii Forums mobile app