Usjar mbwa na paka ni wanyama rafiki sana kwa binadam japo hawana uwezo wa kuongea nsi, mkuu paka ukimtrain kwa adabu hawezi kuiba mnyama pole na msafi kwa ujumla ila nimkali endapo ukimpandusha asira Mimi ninao huu ni mwaka wa nne nawafuga kwaajili ya panya waaribifu ndani