Habari za asubuhi wadau?
Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga.
Gunia 1 = debe 6 (si chini ya kilo 100)
Bei kwa gunia 1: 60,000 Tshs
Mpunga upo Ndala (Tabora)
Habari za asubuhi wadau?
Natafuta wateja niwauzie gunia 175 za mpunga.
Gunia 1 = debe 6 (si chini ya kilo 100)
Bei kwa gunia 1: 60,000 Tshs
Mpunga upo Ndala (Tabora)