Mkuu hiyo bila shaka ni ya 3G...na imekuwa locked kwa mtandao mmoja tofauti na hii ambayo haijafungwa na matandao wowote.mbona zipo tu na beh ni 40000 na risit unapewa ninayo toka mwez wa pili mwaka huu ni nzuri sana........
haya kaka ngoja ni ishie hapahapa nisije nikaonekana na haribu biashara yako ila ni nzur m ninayo na natumia lain tano pamoja na MTN ya zambiaMkuu hiyo bila shaka ni ya 3G...na imekuwa locked kwa mtandao mmoja tofauti na hii ambayo haijafungwa na matandao wowote.
Fungu hii link uone bei ya TIGO ambapo hiyo ya Tigo ni special kwa TIGO tuu E3372 4G Modem for sale | Tigo Tanzania
Bei yake ni Tsh (100000) laki moja tuu..
KARIBUNII