Nauza mikoba ya kina dada

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
16,905
Reaction score
42,074
Habarin wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza mikoba ya kina Dada wadada wa jf na wakaka wa jf njooni muwanunulie mawifi zangu mikoba.
Mikoba mizuri i imebaki michache mwanamke mkoba jamani simwajua tuna mambo mengi tukitoka ya kuweka humo kwenye mikoba sas ikiwa huna inakuwaje jamani .
Ni bei rahisi jamn halafu ni mizuri yaani ukiuchukua kila mtu atataka umuelekeze duka ulilonunua jiwahie imebaki michache karibuni sana kwa mwenye kuhitaji anichek pm
KARIBUNI SANA DADA UKHUTY
 

Please! please! please! hii namba yako ya simu naruhusiwa kuitumia kwa mambo mengine, yale mambo yetu yale?[emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…