mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,083
- 2,098
Bei ipoje?Kichwa tajwa hapo juu chajieleza kwa wenye mahitaji ya mifuko mikubwa na imara ya kilo 1000 yaan tani moja tuwasiliane kwa namba 0764240743 mifuko ipoo
Nahitaji mifuko 25Picha ipo kwa juu bei tunaongea unataka mingapii
Uzito na na ujazo. Kuna tatizo mahali flani.Mhhh!!!
laki 1 na 20 siyo bei chee. punguza bhanaSio bei hiyoo ndugu mifuko hiyo bei Chee sana nauza
kumbe huwa mnaweza kutaja bei ee😀Mfuko mmoja nauza si zaidi ya 10000 Nan kasema nauza 120000