Ha! Ha! Haaaa! Mkuu unafanyia vitu vingi tu. Hizo meza mbili nilizo zibananisha unaweza weka wafanyakazi wako 6 kila mtu na computer yake na viti vyake.
Katikati ya fremu yako ukakata chumba wajitegemee.
Meza hiyo ya 3 ni mapokezi wateja wako watasikilizwa hapo.
Nadhani hadi hapo umeshapata wazo lako la biashara.