thefreedot
Senior Member
- May 21, 2015
- 135
- 25
Memory Card ya GB 4 - Tsh. 10,000 ya Gb 8 Tsh. 25,000 na Gb 16 - Tsh. 35,000
Selfie Stick - Tsh. 30,000 (story zipo kimtindo).
CONTACTS:
Mobile: 0655-659-115, 0624132227
Whatsapp: 0769-663-092
Hakuna anae kufosi huitaji endelea na mambo yako...! Bei na maelezo ndo hayo...!
Hakuna anae kufosi huitaji endelea na mambo yako...! Bei na maelezo ndo hayo...!
Mchongo ndo huo HAPO MBWAGO KUTOKA MAREKANI ndani ya JF....! KWA MTU ANAEHITAJI KARIBU Sana (story zipo kimtindo)...!
Mie nilinunua memory card ya gb 8 kwa sh. 10,000/= Na nimeitumia kwa miezi 8 sasa na iko full ikiwa salama kabisa. Bei zako zako zipo juu mno, au ni za kampuni ya Apple mkuu!..Memory Card ya GB 4 - Tsh. 10,000 ya Gb 8 Tsh. 25,000 na Gb 16 - Tsh. 35,000
Selfie Stick - Tsh. 30,000 (story zipo kimtindo).
CONTACTS:
Mobile: 0655-659-115, 0624132227
Whatsapp: 0769-663-092
Na ww unanunua ghali. Nione nikupe kitu cha jumla juanzia 100pcsMhhh!, mie nachukuaga memory 4GB kwa shilingi elfu 5 tu (5,000/=). Kwani wewe unapatikana wapi? memory zako ni original? kwanini unauza hiyo bei?
Hebu niambie utanitolea kwa bei gani hapo? Ikiwezekana uni PM kabisa, probably waweza nipa kwa Tshs 2,000 per memoryNa ww unanunua ghali. Nione nikupe kitu cha jumla juanzia 100pcs
4000 tuuHebu niambie utanitolea kwa bei gani hapo? Ikiwezekana uni PM kabisa, probably waweza nipa kwa Tshs 2,000 per memory