Nauza mchele na karanga Arusha

Baba kaila

Member
Joined
May 16, 2014
Posts
23
Reaction score
16
Niko Arusha sombetini ngusero nauza mchele na karanga kwa bei ya jumla karibuni kwa huduma zangu ujipatie bidhaa bora yenye thamani ya pesa yako wajulishe ndugu jamaa na marafiki wakazi wa Arusha na wauzaji wa maduka ya mtaani, watu wa migahawani, majumbani n.k ni kuanzia Kilo 10 na kuendelea
KWA MAWASILIANO 0756430325 whatsapp pia ipo, facebook ni dismas mwacha, email ni dismasmwacha53@gmail.com
KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI
 
Unauza bila bei huko ni kuuza au?weka bei tulingalinishe maana sasa ni msimu wa mavuno umeanza bei zinaporomoka kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…