Nauza mbwa (Puppy)

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
mbwa mtoto jike mwenye umri wa miezi miwili na nusu (picha yake download attachment) anauzwa jijini mwanza, anaendelea na chanjo. bei yake tsh 300,000.


vilevile banda la mbwa lenye uwezo wa kufuga mbwa wawili wakubwa nalo linauzwa tsh 320,000.

kwa maelezo zaidi piga simu 0784468997/0752145388
 

Attachments

Mkuu ni mbwa mzuri sana, unakuwaga nao mara kwa Mara? Au huyu tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…