Habari zenu wakuu nauza mbuzi wakienyeji kwa matumizi ya nyama au kufuga wapo mbuzi 30,bei inaanzia tsh.70000 hadi laki moja.nipo singida pia naweza kusafirisha hadi mkoa mwingine.kama upo tayari njoo inbox tufanye biashara.ahsante
Wake wana Hips,na hawatumii facebook kama wako ambao wamekonda macho kwakukesha na kuchat.
Mbuzi wengi wa dodoma ni vipofu,hawajui hata kukonyeza,nyama yao ngumm kwa ukame
Wake wana Hips,na hawatumii facebook kama wako ambao wamekonda macho kwakukesha na kuchat.
Mbuzi wengi wa dodoma ni vipofu,hawajui hata kukonyeza,nyama yao ngumm kwa ukame