SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 831
- 1,568
Na picture za kimtindoUngeelezea unapatikana wapi mzee
Manyara lakin mpaka na dodoma kibaigwa...?Ungeelezea unapatikana wapi mzee
Mkuu wapo utapata tu...?Mbegu ya kuzaa mapacha unayo?
Kuna kondoo wadogo,wakati ambao wamefika wakati wa kupandwa, afu kuna wale tayare ambae kazaa mara moja.Una kondoo aina gani mkuu?
Unayo black headed sheep au dorper?Kuna kondoo wadogo,wakati ambao wamefika wakati wa kupandwa, afu kuna wale tayare ambae kazaa mara moja.
Kuna madume yapo pia.
Nadhan badala ya kuweka Picha za Kimtindo aweke Picha za Bidhaa anazouza, za Kimtindo hazitosaidia. Au Mkuu ulikua unataka kununua hizo Kimtindo?Na picture za kimtindo
Mkuu picha zipi wewe umeona nimewekaNadhan badala ya kuweka Picha za Kimtindo aweke Picha za Bidhaa anazouza, za Kimtindo hazitosaidia. Au Mkuu ulikua unataka kununua hizo Kimtindo?
Jamaa ameomba uweke Picha za Kimtindo,Mkuu picha zipi wewe umeona nimeweka
Mkuu hayo mimi sina..Unayo black headed sheep au dorper?
Mnunuzi akiwa mkoa mwingine utaratibu wa kununua na kufikishiwa mzigo upoje?kwa mtu anayehitaji mbuzi,kondoo na ng'ombe kwa ajili ya kuchinja au kufuga nipo hapa kwa ajili yako na ushauri nakupa kama wa unahitaji kufuga...
Call 0623297330
Kwani upo mkoa gani.Mnunuzi akiwa mkoa mwingine utaratibu wa kununua na kufikishiwa mzigo upoje?
Sawa mkuu.Mkuu hayo mimi sina..
Nina wa kienyeji tu
🤣🤣Ila weweJamaa ameomba uweke Picha za Kimtindo,
Ndo nikamshauri kua bora ziwekwe picha za kinachotangazwa hapa, sio Picha za Kimtindo, sababu hapa mada haihusu Kimtindo