Nauza mbao za plastiki

Nauza mbao za plastiki

mtataina

Member
Joined
Mar 18, 2025
Posts
13
Reaction score
5
Katika kujikinga na kujilinda na uchafuzi wa mazingira, kampuni ya Zanrec recycling company tunayo furaha kuwajulisha kua tunatengeneza na kuuza mbao na nguzo za plastiki, mbao hizi ni ngum na imara, haziozi, haziliwi na wadudu na zinadum kwa miaka mingi, zinatumika kujenga fensi ya nyumba, vitanda vya beach, samani za ndani, pergola na vitu vingine.

Tuna size ya 2x2 feet 8 bei 20,000. 4x2 feet 8 bei 25,000, 4x4 feet 8 bei 40,000 na size nyingine 6x2, 8x2, round poles 3.3 feet 8 bei 24,500. 3.3 feet 10 bei 33000 na zingine
WhatsApp Image 2025-04-08 at 13.40.03.jpeg
WhatsApp Image 2025-01-07 at 11.00.34.jpeg
WhatsApp Image 2025-04-08 at 13.40.00.jpeg
WhatsApp Image 2024-11-20 at 11.36.54.jpeg
WhatsApp Image 2025-02-24 at 09.16.34.jpeg


Tunapatikana Zanzibar na Dar es salaam, kwa mawasiliano zahidi namba zetu ni 0757671874, barua pepe ; sales@zanrec.co.tz
 
Iko vzr
Changamoto ni kipato.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Niliona mjadala kule Kenya, jua likiwa kari sana misumari inalegea,haziga8 hasa zile za fensi make zinakutana na jua moja kwa moja
 
Niliona mjadala kule Kenya, jua likiwa kari sana misumari inalegea,haziga8 hasa zile za fensi make zinakutana na jua moja kwa moja
Kwenye kuchanganya material ya plastiki tunatofautina, wengine wanaweka PET NA HDPE nyingi so mambo kama hayo lazima yatoke, kiukweli tangia tuanze hii biashara hatujawai kupata changamoto ya aina hii.
 
Jambo zuri, ila ili isaidie bei yake iwe rafiki pia.. Mtu kuacha mbao ya 2 by 2 kwa 3000 aje kununua ya 20 elfu si rahisi.
Unafuu wa kitu husaidia.

Kila la kheri mkuu, ni hatua nzuri.
 
Jambo zuri, ila ili isaidie bei yake iwe rafiki pia.. Mtu kuacha mbao ya 2 by 2 kwa 3000 aje kununua ya 20 elfu si rahisi.
Unafuu wa kitu husaidia.

Kila la kheri mkuu, ni hatua nzuri.
 
Asante kwa ushauri mkuu, Discount ipo kulingana na pisi unazochukua, lakini pia bei zinatofautiana kuringana na ubora pia, kumbuka hizi haziozi wala kuliwa na wadudu tofauti na mbao za kawaida
 
Back
Top Bottom