Nauza mbao za mninga size 2*10*10

Nauza mbao za mninga size 2*10*10

elishaeli

Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Hello;
Nina mzigo wa mbao za mninga zenye ujazo wa 2*10*10,yeyote anayehitaji kununua kwa jumla au rejareja anaweza niambia anahitaji kiasi gani na tutaongea kuhusu bei kutokana na idadi ya mbao unazohitaji. Pia waweza nipigia 0689112162 ili kuongea kuhusu idadi na bei.
 
Ungeingia jukwaa la biashara hapa si mahali pake. Bora ungakuwa unauza digital camera au tablet tungekuvumilia.
 
Hello;
Nina mzigo wa mbao za mninga zenye ujazo wa 2*10*10,yeyote anayehitaji kununua kwa jumla au rejareja anaweza niambia anahitaji kiasi gani na tutaongea kuhusu bei kutokana na idadi ya mbao unazohitaji. Pia waweza nipigia 0689112162 ili kuongea kuhusu idadi na bei.

mbao zako ni version gani? na tukishanunua nani atatusaidia kufanya installation.
 
Hahahahahahahahahahahaha kweli. We ni Fascist. Aisee siioni tu hapa button ya like ningekupa kama 10 hivi
 
Back
Top Bottom