Nauza mbao za kuezekea (Treated Timbers)

Fidakasa

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
83
Reaction score
50
Wadau wana Jf hongereni kwanza kuwa ktk mtandao Makini kabisa.
Una ndugu, jamaa ya karibu au mwenyewe, usisite kupata mbao za kuezekea zenye dawa au Simu ya wadudu waharibifu.
Kwanini ununue kwangu?
-Utapata kwa bei nafuu kabisa 20% down the market price.
-vipimo halali epuka kuibiwa na madalali kwani sehemu nyingi sana hata za pembeni huuziwi na mwenyewe Bali dalali ambaye lazima aweke chake cha juu hata km ni kwa kukuangamiza. Unakuta unalipa mfano mil 5 huku bei halisi ulitakiwa utoe mil. 4.
-Ni waaminifu kutokana na Ahadi zetu au makubaliano.
-tunakuletea hadi ulipo tunakuchangia transport asilimia 25%. Kwa maeneo ya Dsm.
Tu wale walio serious wani pm kwa mawasiliano zaidi.
 
Hadithi yako ni nzuri, hivi umesema hapo Chalinze unapatikana nyuma ya kituo gani cha mafuta?
 
Wadau wana Jf hongereni kwanza kuwa ktk mtandao Makini kabisa.
Una ndugu, jamaa ya karibu au mwenyewe, usisite kupata mbao za kuezekea zenye dawa au Simu ya wadudu waharibifu.
Kwanini ununue kwangu?
-Utapata kwa bei nafuu kabisa 20% down the market price.
-vipimo halali epuka kuibiwa na madalali kwani sehemu nyingi sana hata za pembeni huuziwi na mwenyewe Bali dalali ambaye lazima aweke chake cha juu hata km ni kwa kukuangamiza. Unakuta unalipa mfano mil 5 huku bei halisi ulitakiwa utoe mil. 4.
-Ni waaminifu kutokana na Ahadi zetu au makubaliano.
-tunakuletea hadi ulipo tunakuchangia transport asilimia 25%. Kwa maeneo ya Dsm.
Tu wale walio serious wani pm kwa mawasiliano zaidi.

Sasa mimi hiyo simu (hapo penye nyekundu) ya hao wadudu ya nini? Sina haja ya kuwasiliana nao hata?
 
Sorry mdau Sio Simu ni typing error isomeke 'Sumu'
 
Weka namba ya simu hapa tufanye mawasiliano! Inawezekana kabsa tukafanya biashara! Mambo ya PM ya nini wakati unafanya biashara halali - weka contacts zako hadharani!
 
Back
Top Bottom