Tumainiandy JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 433 Reaction score 91 May 26, 2018 Thread starter #21 Unaweza kupewa hata kikombe tu ndugu yakuonja haina tabu. Karibu Hammy Js said: [emoji39] [emoji39] utanionjesha japo kifuniko cha hyo chupa kabla ya kununua? Click to expand...
Unaweza kupewa hata kikombe tu ndugu yakuonja haina tabu. Karibu Hammy Js said: [emoji39] [emoji39] utanionjesha japo kifuniko cha hyo chupa kabla ya kununua? Click to expand...
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,052 Reaction score 3,272 May 26, 2018 #22 Tumainiandy said: Unaweza kupewa hata kikombe tu ndugu yakuonja haina tabu. Karibu Click to expand... Asante ndugu , nikiyapenda zaidi nitakutafuta unielekeze namna ya kuyatengeneza niwe natengeneza mwenyewe home kwa matumizi ya nyumbani kupunguza gharama
Tumainiandy said: Unaweza kupewa hata kikombe tu ndugu yakuonja haina tabu. Karibu Click to expand... Asante ndugu , nikiyapenda zaidi nitakutafuta unielekeze namna ya kuyatengeneza niwe natengeneza mwenyewe home kwa matumizi ya nyumbani kupunguza gharama
Najaf JF-Expert Member Joined Jun 20, 2015 Posts 1,545 Reaction score 2,546 May 26, 2018 #23 Coolant said: Nilitembelea kikundi flani cha wakina mama wakanipa hayo maziwa na keki ya soya, kwakweli nilishiba! Click to expand... Matamu ee???
Coolant said: Nilitembelea kikundi flani cha wakina mama wakanipa hayo maziwa na keki ya soya, kwakweli nilishiba! Click to expand... Matamu ee???
Coolant JF-Expert Member Joined Apr 19, 2015 Posts 1,260 Reaction score 2,217 May 27, 2018 #24 FAIZHAD said: Matamu ee??? Click to expand... Ni kama maziwa ya ng'ombe, utofauti niliouona ni maziwa ya soya yanakua mazito kidogo nadhani hii inatokana na jinsi yatakavyo andaliwa
FAIZHAD said: Matamu ee??? Click to expand... Ni kama maziwa ya ng'ombe, utofauti niliouona ni maziwa ya soya yanakua mazito kidogo nadhani hii inatokana na jinsi yatakavyo andaliwa
Tumainiandy JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 433 Reaction score 91 May 27, 2018 Thread starter #25 Uko sawa mkuu Coolant said: Ni kama maziwa ya ng'ombe, utofauti niliouona ni maziwa ya soya yanakua mazito kidogo nadhani hii inatokana na jinsi yatakavyo andaliwa Click to expand...
Uko sawa mkuu Coolant said: Ni kama maziwa ya ng'ombe, utofauti niliouona ni maziwa ya soya yanakua mazito kidogo nadhani hii inatokana na jinsi yatakavyo andaliwa Click to expand...