Nauza maziwa fresh na mtindi

Nauza maziwa fresh na mtindi

Phinenicke

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
15
Reaction score
3
Habari zenu!

Nina supply maziwa fresh na mtindi. Unaletewa mpaka nyumbani ukiwa Dar kuanzia lita tano. Na ukiwa mwenge hata Chini ya lita tano Unaletewa.

Maziwa fresh lita moja 2000/= na lita tano 10000/=.
Mtindi lita moja elfu 2500/= lita tano elfu 12000/=.
Kwa mawasiliano zaidi piga: 0712738973 au 0753723622.

Karibuni sana
 
Lita 2000?
Duuuh nahamia kimbiji nikafuge.
 
Wateja karibuni sana. Maziwa ambayo hayajachakachuliwa hata.
Unaweza sema bei ipo juu ila yana ubora. Hakika ukijaribu hutaacha kamwe.
 
apologizelady nitakutafuta ilimradi usinimixie tu jamani
 
Last edited by a moderator:
Hahaha,aise Jamii forum sometimes very funny.
Maana mleta uzi wa biashara husika hatimae watu wanapiga dili juu ya Kichwa kisha haooo wanasepa
 
Hahaha,aise Jamii forum sometimes very funny.
Maana mleta uzi wa biashara husika hatimae watu wanapiga dili juu ya Kichwa kisha haooo wanasepa

Ha ha ha me mwenyewe nimeshangaa mkuu, jamaa inabidi apunguze bei tena, ila naamini vya bure gharama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom