Nauza mayai ya blue

huo unaujua wewe tu sisi hatuujui sisi tunamaanisha mifugo

mayai haya wanadai ni mazuri sana kwa kweli kuna waarabu walikua wanayala loliondo yalikua yanatoka nje sio hapa hata shoprite yanauzwa ghali sana
 
Haya mayai huwa siyaelewi, Moshi maeneo ya kule marangu yapo mengi na wanauza bei ya kawaida sasa sijui ni hawajui au
 
Four Chickens That Lay Blue

1. Araucana Chickens - originated in Chile,


2. Ameraucana Chickens - American breed


3. Cream Legbar Chickens - originated in Great Britain


4. Easter Egger Chickens - a mixed-breed chicken
 
Habari wadau,wale kuku wangu wanaotaga mayai ya blue,wameanza kutaga.yai moja 2500.
Atakaye ani PM
Hilo yai la 2500 ni sawa na viagra gm 500 au ptotini ya kawaida tu? ulinipa nipo tayari niwekee trey tano za kuanzia.
 
Hata mimi ninalo moja mkuu nimelifanya kama makumbusho ya nyumbani kwangu lipo kabatini haliliwi na sijabahatika kupata jingine
 
Hawa kuku kwa hapa Bongo tutawapata sehemu gani?

KWA BONGO SIJUI ILA HUKU NILIPO NI VERY COMMON MKUU NA NDIO MAYAI NA NYAMA PENDWA.LABDA NIKUANGALIZIE JINSI YA KUKUTUMIA MATAI MAANA HUKU BEI RAHISI
 
Hilo yai la 2500 ni sawa na viagra gm 500 au ptotini ya kawaida tu? ulinipa nipo tayari niwekee trey tano za kuanzia.
Hapo umegusa penyewe, kwa wanaume wa Dar utaibiwa mpaka kuku 😎😎😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…